News and Events Change View → Listing

Aliyekuwa Kamishna wa ZRB Bw. Amour Hamil Bakari, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti

ALIYEKUWA KAMISHNA WA ZRB BW. AMOUR HAMIL BAKARI, AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB BW. SALEH SADIQ OSMAN, KATIKA HAFLA YA KUAGWA KAMA MJUMBE WA BODI YA 7 YA ZRB MARA BAADA YA KUTEULIWA…

Read More
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wakiwa katika mazungumzo na uongozi wa Hoteli ya Melia iliyopo Kiwengwa Zanzibar.

Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) yawatoa hofu wawekezaji

BODI ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imewatoa hofu wawekezaji nchini kuwa imejidhatiti kuhakikisha wanawaondolea changamoto wanazokabiliana nazo katika ulipaji kodi ili kuwarahisishia ufanyaji wa…

Read More
Mkuu wa kitengo cha Mahusiano kwa Umma cha Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Bi. Safia Is-hak Mzee akitoa mada katika semina na Masheha wa Wilaya ya Mjini iliyofanyika hivi karibuni katika Afisi za Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja.

ZRB Kukusanya Kodi kwa Mfumo wa Vitalu

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), imeandaa mpango maalum wa kuanzisha mfumo wa kodi wa vitalu (Block Management System) katika shehia zote za Unguja na Pemba ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini. Mfumo huo utasaidia…

Read More

Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki Umepaisha Mapato ya Kodi yatokanayo na Kampuni za Simu

Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (Electronic Revenue Collection System (e-RCS) umeonyesha mafanikio makubwa kwa miezi mitatu ya mwanzo ya Julai, Agosti na Septemba 2017, baada ya Makusanyo ya Kodi kwa…

Read More

Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Mheshimiwa Dr. Khalid Salum Mohamed

Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Mheshimiwa Dr. Khalid Salum Mohamed akitoa nasaha katika hafla ya kuwaaga wajumbe wa Bodi ya sita iliyomaliza muda wake. Kushoto ya Waziri ni Mwenyekiti mpya Bw. Saleh Sadiq…

Read More

Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar

Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Mheshimiwa Dokta Khalid Salum Mohamed akimkabidhi cheti aliyekuwa mwenyekiti wa Bodi iliyomaliza muda wake Bw. Abrahman Rashid Mohamed katika hafla ya kuaga wajumbe wa bodi…

Read More

ZRB yawafunda wanahabari sheria za kodi

Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imesema kuimarika ukusanyaji wa kodi kutasaidia kukuza huduma mbalimbali za maendeleo nchini. Hayo yalielezwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kutoka bodi hiyo, Safia Is-hak, katika…

Read More

Dk.Shein Aimwagia sifa ZRB, Awataka wazidishe Uwazi na Uadilifu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) pamoja na uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango kwa kufanya kazi vizuri huku akisisitiza haja…

Read More