BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB) HUTENGA KATIKA FEDHA ZA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUUNGA MKONO MIRADI MBALI MBALI YA KIJAMII. PICHANI NI KAMISHNA WA BODI YA MAPATO ZANZIBAR BWANA AMOUR HAMIL BAKARI (KUSHOTO) AKIKABIDHI MADAWATI KWA MKUU WA MKOA WA KUSINI PEMBA MHESHIMIWA HEMED SULEIMAN.

  • KAMISHNA WA BODI YA MAPATO ZANZIBAR BWANA AMOUR HAMIL BAKARI (KUSHOTO) AKIKABIDHI MADAWATI KWA MKUU WA WILAYA YA CHAKECHAKE MHESHIMIWA RASHID HADID. MADAWATI HAYO YALIKABIDHIWA KATIKA SKULI YA MICHAKAINI IKIWA NI KATIKA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI.KAMISHNA WA BODI YA MAPATO ZANZIBAR BWANA AMOUR HAMIL BAKARI (KUSHOTO) AKIKABIDHI MADAWATI KWA MKUU WA WILAYA YA CHAKECHAKE MHESHIMIWA RASHID HADID. MADAWATI HAYO YALIKABIDHIWA KATIKA SKULI YA MICHAKAINI IKIWA NI KATIKA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI.
  • WANAFUNZI WA SKULI YA SEKONDARI YA UWELENI WAKIFURAHI NA MKUU WA MKOA WA KUSINI PEMBA MHESHIMIWA HEMED SULEIMAN MARA BAADA YA BODI YA MAPATO ZANZIBAR KUKABIDHI MADAWATI KWA AJILI YA SKULI YA UWELENI.WANAFUNZI WA SKULI YA SEKONDARI YA UWELENI WAKIFURAHI NA MKUU WA MKOA WA KUSINI PEMBA MHESHIMIWA HEMED SULEIMAN MARA BAADA YA BODI YA MAPATO ZANZIBAR KUKABIDHI MADAWATI KWA AJILI YA SKULI YA UWELENI.