Bodi ya Wakurugenzi, Uongozi pamoja na Wafanyakazi wote wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wanawatakia wananchi wote wa Zanzibar maadhimisho mema ya miaka 54 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.