Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) ukiwa pamoja na Uongozi wa JICA ndani ya ofisi za Makao makuu ya JICA Dar es salaam. Kikao kinajadili masuala mbali mbali ya Kodi ikiwemo namna ZRB itakavyonufaika na fursa zinazotolewa na taasisi hiyo.