Ushiriki wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) katika Mkutano wa 43 wa Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi za Afrika ya Mashariki (43rd EARACGs Meeting) uliofanyika Kampala Uganda, katika Hoteli ya SerenaKampala kuanzia tarehe 23-24 Novemba, 2017.