Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Mheshimiwa Dr. Khalid Salum Mohamed akitoa nasaha katika hafla ya kuwaaga wajumbe wa Bodi ya sita iliyomaliza muda wake. Kushoto ya Waziri ni Mwenyekiti mpya Bw. Saleh Sadiq Osman na kulia ya Waziri ni Bw. AbdulRahman Rashid Mohamed ambaye ni mwenyekiti wa Bodi iliyomaliza muda wake.