ALIYEKUWA KAMISHNA WA ZRB BW. AMOUR HAMIL BAKARI, AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB BW. SALEH SADIQ OSMAN, KATIKA HAFLA YA KUAGWA KAMA MJUMBE WA BODI YA 7 YA ZRB MARA BAADA YA KUTEULIWA NA MH. RAIS WA ZANZIBAR KUWA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA VIJANA, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR. (HAFLA HII ILIFANYIKA TAREHE 17/03/2018)

  • ALIYEKUWA NAIBU KAMISHNA WA ZRB BI. KHADIJA SHAMTE MZEE, AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB BW. SALEH SADIQ OSMAN, KATIKA HAFLA YA KUAGWA MARA BAADA YA KUTEULIWA NA MH. RAIS WA ZANZIBAR KUWA NAIBU MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ) (HAFLA HII ILIFANYIKA TAREHE 17/03/2018)