Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) ukiwa pamoja na Uongozi wa JICA

Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) ukiwa pamoja na Uongozi wa JICA ndani ya ofisi za Makao makuu ya JICA Dar es salaam. Kikao kinajadili masuala mbali mbali ya Kodi ikiwemo namna ZRB itakavyonufaika na fursa…

Read More

Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar ndugu Amour Hamil Bakari akifanya ziara Kaskazini Pemba

Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar ndugu Amour Hamil Bakari akifanya ziara katika maeneo mbali mbali ya biashara katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, lengo likiwa ni kuangalia changamoto wanazokabiliana nazo walipakodi…

Read More

INFRASTRUCTURE TAX 2015

This Act may be cited as the Finance (Public Revenue Management) Act, 2015 and shall come into operation immediately after being assented to by the President. (1) There shall be a tax to be known as the “infrastructure…

Read More

BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB) HUTENGA KATIKA FEDHA ZA MATUMIZI

BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB) HUTENGA KATIKA FEDHA ZA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUUNGA MKONO MIRADI MBALI MBALI YA KIJAMII. PICHANI NI KAMISHNA WA BODI YA MAPATO ZANZIBAR BWANA AMOUR HAMIL BAKARI (KUSHOTO) AKIKABIDHI…

Read More

Stamp Duty Act No.7 0f 2017

1.   This  Act  may  be cited  as  the Stamp  Duty  Act,  2017 and  shall  come  into operation  upon bei_ng assented  to by the President.…

Read More

Excise Duty Act No.8 of 2017

1.  This Act  may  be cited as the Excise Duty Act, 2017  and shall come  into operation immediately upon being assented to by the President.   2.    This Act shall apply…

Read More
Mkuu wa kitengo cha Mahusiano kwa Umma cha Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Bi. Safia Is-hak Mzee akitoa mada katika semina na Masheha wa Wilaya ya Mjini iliyofanyika hivi karibuni katika Afisi za Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja.

ZRB Kukusanya Kodi kwa Mfumo wa Vitalu

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), imeandaa mpango maalum wa kuanzisha mfumo wa kodi wa vitalu (Block Management System) katika shehia zote za Unguja na Pemba ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini. Mfumo huo utasaidia…

Read More
Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar Nd. Amour Hamil Bakari  na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya simu ya Zantel wakitia saini mkataba wa muda mrefu wa huduma za malipo ya Kodi kwa njia ya mtandao wa simu.

Mkataba baina ya ZRB na Zantel kuhusiana na malipo ya Kodi kwa njia ya mtandao wa simu

Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Zantel imetiliana saini Mkataba wa muda mrefu ya huduma za malipo ya Kodi kupitia kampuni ya Zantel itakayorahisisha huduma ya ulipaji Kodi kwa njia…

Read More