Taarifa kwa umma

Kufuatia tangazo la ajira lililotolewa na ZRB hivi karibuni ambalo lilihusu kuitwa kwa waombaji wa ajira ya kufanya usaili wa kujaza nafasi mbali mbali za kazi katika ofisi za ZRB, kumejitokeza watu wasiokuwa waaminifu…

Read More

Fiscal Cash Register - FCR

ZRB project provides electronically device called Fiscal Cash register (thereinafter referenced as FCR) to Zanzibar hotel taxpayer for issuing receipt, recording transaction and uploading receipt data. This user…

Read More

The Tax Administration and Procedures Act, No. 7 of 2018

This Edition of The Tax Administration and Procedures Act, No. 7 of 2009 incorporates and consolidates all amendments made in the Act since its commencement up to July, 2013 for easy reference of the Act

Read More
Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) bwana Joseph Abdalla Meza akitoa ufafanuzi wakati wa mkutano huo.

Zrb,waingizaji bidhaa uso kwa uso

KAMISHNA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Joseph Abdalla Meza, amewasisitiza wafanyabiashara kuhakikisha wanafuata masharti ya biashara ikiwemo kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar. Alieleza hayo wakati…

Read More
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato (ZRB) bwana Saleh Mubarak akifafanua jambo wakati wa ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha  Abeid Amani Karume.

Zrb kujadili changamoto na wadau

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), inakusudia kukaa pamoja na Tasisi za Serikali ambazo zina mchango katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege na Bandari ili kuhakikisha inaondoa changamoto na…

Read More

Aliyekuwa Kamishna wa ZRB Bw. Amour Hamil Bakari, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti

ALIYEKUWA KAMISHNA WA ZRB BW. AMOUR HAMIL BAKARI, AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB BW. SALEH SADIQ OSMAN, KATIKA HAFLA YA KUAGWA KAMA MJUMBE WA BODI YA 7 YA ZRB MARA BAADA YA KUTEULIWA…

Read More
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wakiwa katika mazungumzo na uongozi wa Hoteli ya Melia iliyopo Kiwengwa Zanzibar.

Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) yawatoa hofu wawekezaji

BODI ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imewatoa hofu wawekezaji nchini kuwa imejidhatiti kuhakikisha wanawaondolea changamoto wanazokabiliana nazo katika ulipaji kodi ili kuwarahisishia ufanyaji wa…

Read More

INFRASTRUCTURE TAX 2015

This Act may be cited as the Finance (Public Revenue Management) Act, 2015 and shall come into operation immediately after being assented to by the President. (1) There shall be a tax to be known as the “infrastructure…

Read More