Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar Nd. Amour Hamil Bakari wa pili kutoka kushoto akiwa katika Mkutano wa 43 wa Makamishna wakuu wa Mamlaka za Mapato za nchi za Afrika ya Mashariki.

  • Ushiriki wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) katika Mkutano wa 43 wa Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi za Afrika ya Mashariki.
  • Mkutano wa 43 wa Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi za Afrika ya Mashariki (43rd EARACGs Meeting) uliofanyika Kampala Uganda