Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Zantel imetiliana saini Mkataba wa muda mrefu ya huduma za malipo ya Kodi kupitia kampuni ya Zantel itakayorahisisha huduma ya ulipaji Kodi kwa njia ya mtandao wa simu ya kampuni hiyo.