Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Mheshimiwa Dokta Khalid Salum Mohamed akimkabidhi cheti aliyekuwa mwenyekiti wa Bodi iliyomaliza muda wake Bw. Abrahman Rashid Mohamed katika hafla ya kuaga wajumbe wa bodi iliyomaliza muda.