ZRA YAJA NA MFUMO MPYA WA UKUSANYAJI MAPATO
Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema inatarajia kuzindua mfumo mpya wa ukusanyaji wa mapato ambao unaendana na mahitaji ya wakati ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini.Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo...
Read More