ZRB Yajivua Gamba, Sasa ni ZRA

Mwenda kuwa Kamishna Mkuu wa kwanzaNa Muandishi Wetu.Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mheeshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum ametangaza rasmi kuanza kutumika kwa jina la Mamlaka ya Mapato Zanzibar...

Read More

ZRA YAJA NA MFUMO MPYA WA UKUSANYAJI MAPATO

Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema inatarajia kuzindua mfumo mpya wa ukusanyaji wa mapato ambao unaendana na mahitaji ya wakati ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini.Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo...

Read More

KAMATI YA UCHUMI YAIMWAGIA SIFA ZRB

Wajumbe wa Kamati ya Uchumi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) kwa kufikisha huduma karibu na wananchi kulikotokana na kufungua ofisi katika maeneo mbali...

Read More

Marekebisho ya Sheria za Kodi za Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2022/2023

Sheria ya kutoza Kodi na kufuta baadhi ya Kodi na tozo na kurekebisha baadhi ya Sheria za fedha na Kodi zinazohusiana na ukusanyaji na udhibiti wa Mapato ya Serikali

Read More

SIKU TATU ZA MIKAKATI ZAIBUA ARI YA UKUSANYAJI WA MAPATO

Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndugu Yusuph Juma Mwenda amesema

Read More