Excise Duty Act No.8 of 2017

1.  This Act  may  be cited as the Excise Duty Act, 2017  and shall come  into operation immediately upon being assented to by the President. 2.    This Act shall apply...

Read More

ZRB Kukusanya Kodi kwa Mfumo wa Vitalu

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), imeandaa mpango maalum wa kuanzisha mfumo wa kodi wa vitalu (Block Management System) katika shehia zote za Unguja na Pemba ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini. Mfumo huo...

Read More

Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki Umepaisha Mapato ya Kodi yatokanayo na Kampuni za Simu

Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (Electronic Revenue Collection System (e-RCS) umeonyesha mafanikio makubwa kwa miezi mitatu ya mwanzo ya Julai, Agosti na Septemba 2017, baada ya Makusanyo ya Kodi...

Read More

The Petroleum Levy Act No.7 of 2001 (The Revised Edition of 2018)

This edition of the Petroleum Levy Act No. 7 of 2001, incorporates and consolidates all amendments made in the Act since its commencement up to July, 2018 for easy reference of the Act

Read More

ZRB yawafunda wanahabari sheria za kodi

Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imesema kuimarika ukusanyaji wa kodi kutasaidia kukuza huduma mbalimbali za maendeleo nchini. Hayo yalielezwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kutoka bodi hiyo, Safia Is-hak,...

Read More

ZRB yawafunda Wawakilishi sheria ushuru wa bidhaa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema inakusudia kuanzisha sheria ya ushuru wa bidhaa ili kuiwezesha Zanzibar kuwa na nguvu za kisheria kutoza ushuru huo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha na...

Read More

President John Magufuli launches new tax Collection System

Dar es Salaam. President John Magufuli has launched a new revenue collection system branded Electronic Revenue Collection System (ERCS).  The system was designed by the Tanzania Revenue Authority (TRA) in...

Read More

ZRB yalia na Magendo ya Mafuta

Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imesema magendo ya mafuta na uuzaji wa nishati hiyo kwenye madumu katika vituo vya kuuzia mafuta (sheli), ni moja ya changamoto kubwa inayoendelea kuitesa kwa muda mrefu sasa.Hayo...

Read More