Dar es Salaam. President John Magufuli has launched a new revenue collection system branded Electronic Revenue Collection System (ERCS).  The system was designed by the Tanzania Revenue Authority (TRA) in partnership with Zanzibar Revenue Board (ZRB) purposely to monitor the collection of Value Added Tax (VAT) and excise duty.

Speaking shortly before the launch on Thursday, President Magufuli asked telecommunication companies and financial institutions to start using the system. He said the system is very open and transparent for all transactions, furthermore it is simple to use  and it offers accurate calculations.

"I humbly encourage all of you to join the government's move by using this new approach that brings a range of advantages," he said and ordered all ministries and government institutions to use the ERCS.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine akiwasili katika eneo maalum kwa ajili ya uzinduzi wa Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki (e-RCS) leo Jijini Dar es Salaam.
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ipad (Kishikwambi) atakayotumia kwa ajili ya kufuatilia Mfumo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa Njia ya Kielekroniki kutoka kwa Mratibu wa Mfumo huo Bakari Mwangugu, katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo huo zilizofanyika Kijitonyama Jijini Dar es salaam leo. Katikati ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akibonyeza kitufe tayari kwa uzinduzi wa Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa njia ya Kielektroni (e-RCS) zilizofanyika Kijitonyama Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
  • Ukurasa rasmi wa Rais ulioundwa mahususi kwa ajili ya ufuatiliaji wa Mfumo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa Njia ya Kielektroniki (e-RCS) kama unavyoonekana mara baada ya kuzinduiliwa rasmi kwa mfumo huo leo Jijini Dar es Salaam.
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akipeana mkono na Mratibu wa Mfumo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa Njia ya Kielektroniki Bakari Mwangugu mara baada ya kuzindua rasmi mfumo huo leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektroni (e-RCS) zilizofanyika Kijitonyama Jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
  • Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya Kielektroni (e-RCS) zilizofanyika Kijitonyama Jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
  • Baadhi ya wadau wa kodi wakifuatilia uzinduzi wa Mfumo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa Njia ya Kielektroniki leo Jijini Dar es Salaam.