News and Events Change View → Listing

Wasiotoa Risiti kwa Kusingizia Ubovu wa Mashine Kuchukuliwa Hatua

Na Mwandishi Wetu.Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) inajipanga kuunda timu maalum kwa lengo kukagua mashine na mfumo wa kutolea Risiti za kielektroniki ili kuwabaini wanaokwepa kutoa Risiti kwa kisingizio cha...

Read More

Mamlaka za Mapato Zanzibar zashauriwa kutafuta Mbadala wa Kodi

Na Mwandishi Wetu.Mamlaka zinazosimamia ukusanyaji wa mapato Zanzibar zimeshauriwa kutafuta chanzo mbadala cha ukusanyaji wa mapato badala ya kuweka mkazo katika kubuni na kuanzisha vyanzo vipya vya kodi.Rai...

Read More

ZRA yapongezwa kwa hatua za Kiteknolojia katika ukusanyaii Kodi

Na Muandishi Wetu.Wakuu wa Mamlaka za Kodi kutoka Jumuiya za Afrika Mashariki na Afrika Magharibi wakiongozwa na uwakilishi kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) wameipongeza Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)...

Read More

ZRA Yateta na Wasafirishaji wa Mwani

Na Muandishi Wetu.Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) leo imekutana na Wafanyabiashara na Wasafirishaji wa Mwani Zanzibar na kujadili changamoto mbali mbali zinazowakabili kuhusiana na biashara na Kodi katika...

Read More