News and Events Change View → Listing

ZRB Yajivua Gamba, Sasa ni ZRA

Mwenda kuwa Kamishna Mkuu wa kwanzaNa Muandishi Wetu.Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mheeshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum ametangaza rasmi kuanza kutumika kwa jina la Mamlaka ya Mapato Zanzibar...

Read More

ZRA YAJA NA MFUMO MPYA WA UKUSANYAJI MAPATO

Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema inatarajia kuzindua mfumo mpya wa ukusanyaji wa mapato ambao unaendana na mahitaji ya wakati ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini.Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo...

Read More

KAMATI YA UCHUMI YAIMWAGIA SIFA ZRB

Wajumbe wa Kamati ya Uchumi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) kwa kufikisha huduma karibu na wananchi kulikotokana na kufungua ofisi katika maeneo mbali...

Read More

SIKU TATU ZA MIKAKATI ZAIBUA ARI YA UKUSANYAJI WA MAPATO

Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndugu Yusuph Juma Mwenda amesema

Read More

ZRB yajidhatiti kusimamia Sheria

Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndugu Yusuph Juma Mwenda amesema kuwa ZRB itaendelea kusimamia sheria za kodi pamoja na kuimarisha miundombinu ya ukusanyaji wa mapato ili kuondosha usumbufu kwa lengo...

Read More

Dkt. Mwinyi Azindua Jengo la ZRB Pemba

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesema itaendelea kufanyakazi kwa ukaribu zaidi na uongozi wa taasisi zinazosimamia kodi ikiwemo Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ili kuona...

Read More