ZRA Yateta na Wasafirishaji wa Mwani

Na Muandishi Wetu.Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) leo imekutana na Wafanyabiashara na Wasafirishaji wa Mwani Zanzibar na kujadili changamoto mbali mbali zinazowakabili kuhusiana na biashara na Kodi katika...

Soma Zaidi

ZRB Yajivua Gamba, Sasa ni ZRA

Mwenda kuwa Kamishna Mkuu wa kwanzaNa Muandishi Wetu.Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mheeshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum ametangaza rasmi kuanza kutumika kwa jina la Mamlaka ya Mapato Zanzibar...

Soma Zaidi

ZRA YAJA NA MFUMO MPYA WA UKUSANYAJI MAPATO

Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema inatarajia kuzindua mfumo mpya wa ukusanyaji wa mapato ambao unaendana na mahitaji ya wakati ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini.Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo...

Soma Zaidi

KAMATI YA UCHUMI YAIMWAGIA SIFA ZRB

Wajumbe wa Kamati ya Uchumi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) kwa kufikisha huduma karibu na wananchi kulikotokana na kufungua ofisi katika maeneo mbali...

Soma Zaidi

SIKU TATU ZA MIKAKATI ZAIBUA ARI YA UKUSANYAJI WA MAPATO

Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndugu Yusuph Juma Mwenda amesema

Soma Zaidi

ZRB yajidhatiti kusimamia Sheria

Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndugu Yusuph Juma Mwenda amesema kuwa ZRB itaendelea kusimamia sheria za kodi pamoja na kuimarisha miundombinu ya ukusanyaji wa mapato ili kuondosha usumbufu kwa lengo...

Soma Zaidi