Mamlaka za Mapato EAC Zasisitizwa Mapambano Dhidi ya Rushwa, Uhalifu wa Kifedha

Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki zimesisitizwa juu ya umuhimu wa kuimarisha matumizi ya ushahidi wa kitaalamu kwa kutumia Mifumo (forensic evidence) katika mapambano dhidi ya rushwa na uhalifu wa kifedha.Msisitizo huo…

Wajibu wa Kisheria wa Kusajili Biashara na Kuunganisha Mifumo ya Tehama na Mifumo ya ZRA

Wajibu wa Kisheria wa Kusajili Biashara na Kuunganisha Mifumo ya Tehama na Mifumo ya Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)

Msamaha wa Adhabu na Riba

Msamaha wa Adhabu na Riba

Matunda ya Kodi - Soko la Jumbi

Soko la Jumbi lilifunguliwa rasmi tarehe 27/10/2024 na kwa sasa tayari wafanyabiashara wameanza kufanya biashara zao katika soko hilo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi  wakati wa kampeni zake…

Banda Bora katika Maonesho ya SabaSaba

Karibu katika Banda la ZRA katika Maonesho ya SabaSaba Jijini Dar es Salam.