Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) inawajuilisha Walipakodi wote kuwa, tarehe ya mwisho ya kufanya Malipo yα Kodi ya Mwezi wa Septemba 2025 imeongezwa muda kutoka tarehe 20 Oktoba hadi tarehe 22 Oktoba 2025.Walipakodi wote ambao hawajafanya…
Wajibu wa Kisheria wa Kusajili Biashara na Kuunganisha Mifumo ya Tehama na Mifumo ya Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)
Legal Obligation to Register Business and Integrate ICT Systems with Zanzibar Revenue Authority (ZRA) Systems
Msamaha wa Adhabu na Riba



