Mamlaka za Mapato EAC Zasisitizwa Mapambano Dhidi ya Rushwa, Uhalifu wa Kifedha

Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki zimesisitizwa juu ya umuhimu wa kuimarisha matumizi ya ushahidi wa kitaalamu kwa kutumia Mifumo (forensic evidence) katika mapambano dhidi ya rushwa na uhalifu wa kifedha.Msisitizo huo…