Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah (Kushoto) akabidhi Tuzo ZRA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah (Kushoto) akimakabidhi Tuzo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) ndugu Yusuph Juma Mwenda, ikiwa ni sehemu ya kutambua Mchango wa Taifa