Sheria ya Mamlaka ya Mapato Zanzibar, Nam. 11 ya 2022
Sheria ya Kifuta Sheria ya Bodi ya Mapato Zanzibar, Nam. 7 ya 1996 na Kuanzisha Mamlaka ya Mapato Zanzibar Kama Chombo Kikuu cha Kufanya Tathmini na Kukusanya Mapato Yaliyoainishwa Ili Kusimamia na Kutekeleza Sheria Zinazosimamia Mapato Hayo na Mambo Mengine Yanayohusiana Hayo


