Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akimkabidhi Zawadi Mhe. Rais wa Zanzibar

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akimkabidhi Zawadi Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuwa Mstari wa Mbele katika kukuza Uchumi