ZRA NA NTA
Mkurugenzi Idara ya Utafiti na Mipango kutoka Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Ndg. Ahmed Haji Saadat akizungumza katika Warsha ya Siku mbili kwa Viongozi wa ZRA inayoongozwa na Taasisi ya Usimamizi wa Kodi ya Norway (NTA). Warsha hiyo inaendelea katika Hoteli ya Madinatul Bahri.


