Kamishna Mkuu Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Ndg. katika Hafla ya Ufunguzi wa Ofisi ya ZRA Mkoa wa Kaskazini Pemba kikodi, iliofanyika eneo la Mtemani Pemba .
Kombo kichwa na ZRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum akimkabidhi Kamishana Mstaafu wa ZRB Ndg. Joseph A Meza




