Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43.Kwa mujibu wa taarifa…
ZANZIBAR-Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imekabidhi msaada wa chakula na baadhi ya vifaa vya usafi katika kituo cha kulea watoto yatima kiichopo Tunguu mjini Unguja;
WAZIRI SAADA PAMOJA NA KAMISHNA MWENDA WAMKABIDHI FLANA YA ZRA MBWANA SAMATTA
SKULI YA SEKONDARI YA DKT SALMIN YASHINDA NAFASI YA KWANZA MASHINDANO TAX CLUB





