Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah (Kushoto) akabidhi Tuzo ZRA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah (Kushoto) akimakabidhi Tuzo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) ndugu Yusuph Juma Mwenda, ikiwa ni sehemu ya kutambua Mchango wa Taifa

ZRA Kushirkiana Na Aeqsrb Kutoa Elimu Ya Kodi Kupitia Mabango Ya Wakandarasi

ZRA Kushirkiana Na Aeqsrb Kutoa Elimu Ya Kodi Kupitia Mabango Ya Wakandarasi

ZRA NA NTA

Mkurugenzi Idara ya Utafiti na Mipango kutoka Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Ndg. Ahmed Haji Saadat akizungumza katika Warsha ya Siku mbili kwa Viongozi wa ZRA inayoongozwa na Taasisi ya Usimamizi wa Kodi ya Norway (NTA). Warsha hiyo…

United Petroleum akikabidhiwa TUZO ya Jumla na Rais wa Zanzibar Mhe Dkt Hussein Ali Mwinyi

United Petroleum akikabidhiwa TUZO ya Jumla na Rais wa Zanzibar Mhe Dkt Hussein Ali Mwinyi