TIMU YA ZRA YATOKEA MSHINDI WA PILI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah (Kushoto) akimakabidhi Tuzo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) ndugu Yusuph Juma Mwenda, ikiwa ni sehemu ya kutambua Mchango wa Taifa
ZRA Kushirkiana Na Aeqsrb Kutoa Elimu Ya Kodi Kupitia Mabango Ya Wakandarasi
Mkurugenzi Idara ya Utafiti na Mipango kutoka Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Ndg. Ahmed Haji Saadat akizungumza katika Warsha ya Siku mbili kwa Viongozi wa ZRA inayoongozwa na Taasisi ya Usimamizi wa Kodi ya Norway (NTA). Warsha hiyo…


