UTARATIBU WA UTEKELEZAJI WA TAMKO LA KUSAMEHE RIBA NA ADHABU, 2025
Implementation of the Tax Administration and Procedures (Remission of Interest and Penalty), Order 2025
Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema imevuka malengo ya makusanyo ya kodi kwa asilimia 103.31 ambapo kwa kipindi cha mwezi Septemba ilikadiriwa kukusanya shilingi bilioni 74.049 na imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 76.467.
Mwaka Mpya wa Fedha
Taarifa ya Makusanyo kwa Mwezi Agosti 2024/2025



