ZANZIBAR-Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imekabidhi msaada wa chakula na baadhi ya vifaa vya usafi katika kituo cha kulea watoto yatima kiichopo Tunguu mjini Unguja;