BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), inakusudia kukaa pamoja na Tasisi za Serikali ambazo zina mchango katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege na Bandari ili kuhakikisha inaondoa changamoto na kuongeza kasi ya…
BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), imeandaa mpango maalum wa kuanzisha mfumo wa kodi wa vitalu (Block Management System) katika shehia zote za Unguja na Pemba ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini.Mfumo huo utasaidia kujua idadi ya…
Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (Electronic Revenue Collection System (e-RCS) umeonyesha mafanikio makubwa kwa miezi mitatu ya mwanzo ya Julai, Agosti na Septemba 2017, baada ya Makusanyo ya Kodi kwa Upande wa Zanzibar (ZRB)…
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imesema kuimarika ukusanyaji wa kodi kutasaidia kukuza huduma mbalimbali za maendeleo nchini. Hayo yalielezwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kutoka bodi hiyo, Safia Is-hak, katika mafunzo ya siku moja ya…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema inakusudia kuanzisha sheria ya ushuru wa bidhaa ili kuiwezesha Zanzibar kuwa na nguvu za kisheria kutoza ushuru huo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Khalid Salum Mohammed,…

