Kaimu Kamishna Mkuu ZRA aanza na Tuzo ya ZAECA
Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa ZRA CPA Yusuph Juma Mwenda akikabidhi Ofisi kwa Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43.Kwa mujibu wa taarifa…
ZANZIBAR-Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imekabidhi msaada wa chakula na baadhi ya vifaa vya usafi katika kituo cha kulea watoto yatima kiichopo Tunguu mjini Unguja;




