ZRA Yakabidhiwa Muundo wa Taasisi

Na Mwandishi Wetu.Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar imeikabidhi Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) muundo wa taasisi hiyo kufuatia mabadiliko ya kimuuondo ya kutoka iliyokuwa Bodi ya Mapato Zanzibar yaliyofanyika hivi…

KAMATI YA UCHUMI YAIMWAGIA SIFA ZRB

Wajumbe wa Kamati ya Uchumi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) kwa kufikisha huduma karibu na wananchi kulikotokana na kufungua ofisi katika maeneo mbali mbali ya Zanzibar.Akitoa pongezi…