Makabidhiano ya Nyaraka za Utendaji kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRA
Na Mwandishi Wetu.Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) inajipanga kuunda timu maalum kwa lengo kukagua mashine na mfumo wa kutolea Risiti za kielektroniki ili kuwabaini wanaokwepa kutoa Risiti kwa kisingizio cha ubovu wa Mashine.Uamuzi huo ni…
Mamlaka zinazosimamia ukusanyaji wa mapato Zanzibar zimeshauriwa kutafuta chanzo mbadala cha ukusanyaji wa mapato badala ya kuweka mkazo katika kubuni na kuanzisha vyanzo vipya vya kodi.Rai hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Kamati ya…
Na Mwandishi Wetu.Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar imeikabidhi Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) muundo wa taasisi hiyo kufuatia mabadiliko ya kimuuondo ya kutoka iliyokuwa Bodi ya Mapato Zanzibar yaliyofanyika hivi…


