Na Mwandishi Wetu.Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar imeikabidhi Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) muundo wa taasisi hiyo kufuatia mabadiliko ya kimuuondo ya kutoka iliyokuwa Bodi ya Mapato Zanzibar yaliyofanyika hivi…
Ziara ya Viongozi wa Taasisi za Kodi za Afrika Mashariki na Afrika Magharibi
Wakuu wa Mamlaka za Kodi kutoka Jumuiya za Afrika Mashariki na Afrika Magharibi wakiongozwa na uwakilishi kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) wameipongeza Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) kutokana na hatua inazopiga katika mageuzi ya…
Na Muandishi Wetu.Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) leo imekutana na Wafanyabiashara na Wasafirishaji wa Mwani Zanzibar na kujadili changamoto mbali mbali zinazowakabili kuhusiana na biashara na Kodi katika kikao kilichofanyika Afisi kuu za…
An Act to Repeal the Zanzibar Revenue Board Act, No. 7 of 19% and Establish the Zanzibar Revenue Authority as A Central Body for the Assessment and Collection of Specified Revenues to Administer and Enforce the Laws Relating to Such…

