Sheria ya Mamlaka ya Mapato Zanzibar, Nam. 11 ya 2022

Sheria ya Kifuta Sheria ya Bodi ya Mapato Zanzibar, Nam. 7 ya 1996 na Kuanzisha Mamlaka ya Mapato Zanzibar Kama Chombo Kikuu cha Kufanya Tathmini na Kukusanya Mapato Yaliyoainishwa Ili Kusimamia na Kutekeleza Sheria Zinazosimamia Mapato…

ZRB Yajivua Gamba, Sasa ni ZRA

Mwenda kuwa Kamishna Mkuu wa kwanzaNa Muandishi Wetu.Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mheeshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum ametangaza rasmi kuanza kutumika kwa jina la Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) badala ya jina la Bodi ya…

Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi Apokea Zawadi Kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)

Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi Apokea Zawadi Kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)