Taarifa kwa Umma

Kufuatia tangazo la ajira lililotolewa na ZRB hivi karibuni ambalo lilihusu kuitwa kwa waombaji wa ajira ya kufanya usaili wa kujaza nafasi mbali mbali za kazi katika ofisi za ZRB, kumejitokeza watu wasiokuwa waaminifu na wenye nia ya…

Fiscal Cash Register - FCR

ZRB project provides electronically device called Fiscal Cash register (thereinafter referenced as FCR) to Zanzibar hotel taxpayer for issuing receipt, recording transaction and uploading receipt data. This user manual describes how to use…

Zrb,waingizaji bidhaa uso kwa uso

KAMISHNA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Joseph Abdalla Meza, amewasisitiza wafanyabiashara kuhakikisha wanafuata masharti ya biashara ikiwemo kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar.Alieleza hayo wakati akizungumza na…

Zrb kujadili changamoto na wadau

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), inakusudia kukaa pamoja na Tasisi za Serikali ambazo zina mchango katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege na Bandari ili kuhakikisha inaondoa changamoto na kuongeza kasi ya…

ZRB Kukusanya Kodi kwa Mfumo wa Vitalu

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), imeandaa mpango maalum wa kuanzisha mfumo wa kodi wa vitalu (Block Management System) katika shehia zote za Unguja na Pemba ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini.Mfumo huo utasaidia kujua idadi ya…