BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB) INAWATANGAZIA WALIPAKODI WOTE KUWA, KUANZIA TAREHE 1 AGOSTI, 2022, MALIPO YOTE YA KODI YANAYOLIPWA KWA BODI YA MAPATO ZANZIBAR, YANAPASWA KUZINGATIA YAFUATAYO:-
Publication on tax collection performance and the Government Finance Statistics is being released by the Zanzibar Revenue Board each year. Tax statistics data are collected from Zanzibar Revenue Board.
Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndugu Yusuph Juma Mwenda amesema kuwa ZRB itaendelea kusimamia sheria za kodi pamoja na kuimarisha miundombinu ya ukusanyaji wa mapato ili kuondosha usumbufu kwa lengo la kuongeza ufanisi na kufikia…
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesema itaendelea kufanyakazi kwa ukaribu zaidi na uongozi wa taasisi zinazosimamia kodi ikiwemo Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ili kuona taasisi hizo zinatekeleza majukumu…
Sheria ya kutoza Kodi na kufuta baadhi ya Kodi na tozo na kurekebisha baadi ya Sheria za fedha na Kodi zinazohusiana na ukusanyaji na udhibiti wa Mapato ya Serikali.

