Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (Electronic Revenue Collection System (e-RCS) umeonyesha mafanikio makubwa kwa miezi mitatu ya mwanzo ya Julai, Agosti na Septemba 2017, baada ya Makusanyo ya Kodi kwa Upande wa Zanzibar (ZRB)…
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imesema kuimarika ukusanyaji wa kodi kutasaidia kukuza huduma mbalimbali za maendeleo nchini. Hayo yalielezwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kutoka bodi hiyo, Safia Is-hak, katika mafunzo ya siku moja ya…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema inakusudia kuanzisha sheria ya ushuru wa bidhaa ili kuiwezesha Zanzibar kuwa na nguvu za kisheria kutoza ushuru huo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Khalid Salum Mohammed,…
Dar es Salaam. President John Magufuli has launched a new revenue collection system branded Electronic Revenue Collection System (ERCS). The system was designed by the Tanzania Revenue Authority (TRA) in partnership with Zanzibar…
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imesema magendo ya mafuta na uuzaji wa nishati hiyo kwenye madumu katika vituo vya kuuzia mafuta (sheli), ni moja ya changamoto kubwa inayoendelea kuitesa kwa muda mrefu sasa.Hayo yalisemwa na wajumbe wa bodi…

