Mwenda kuwa Kamishna Mkuu wa kwanzaNa Muandishi Wetu.Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mheeshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum ametangaza rasmi kuanza kutumika kwa jina la Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) badala ya jina la Bodi ya…
Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi Apokea Zawadi Kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)
Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema inatarajia kuzindua mfumo mpya wa ukusanyaji wa mapato ambao unaendana na mahitaji ya wakati ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini.Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo ndugu Yusuph Juma Mwenda…


